Happy Birthday Mke wangu Mpenzi...

Happy Birthday Mke wangu Mpenzi...

Mwachie uhuru kidogo ajiachie bwana akikukimbia hapa unaanza kulialia ukumbuki ulivompata kwa shida
ukiolewa ni kama umeingia jela alinisumbua wakati wa kumtongoza kakubali mwenyewe kuingia ndoani wacha nimtwale na kumfanya nipendavyo farkhina haraka nasema rudi nyumbani tena nikukute ukiwa naked
 
Last edited by a moderator:
Bina Bina we binamu yangu hao wengine kuna vitu naweza kupata kwao

ambavyo kwa bina ni haramu kunipa
ha ha ha yani nimecheka mpaka nimeangusha uporo wangu wa wali......si wahenga husema binamu nyama ya hamu au nakosea??
 
ukiolewa ni kama umeingia jela alinisumbua wakati wa kumtongoza kakubali mwenyewe kuingia ndoani wacha nimtwale na kumfanya nipendavyo farkhina haraka nasema rudi nyumbani tena nikukute ukiwa naked

Mabwaku utaachwa
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa siku ya kuzaliwa kwako shansarie!
Mungu akupe afya njema kama ya Mkapa na good looking face kama ya mke wake!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom