Happy Birthday Mke wangu Mpenzi...

thankx my love kiwatengu for the wishes, you have been part of this journey till today
thumbs up kwako kwa kunijali na kunipa furaha kila siku iitwayo leo
your the best thing ever happen to me

love you so much

My one and only!! i love u i love u i love u.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday my dear shansarie uwe na maisha ya furaha na amani na Mungu awe kati yenu sikuzote akuepushe na kila baya la dunia hii akujaalie mema katika maisha yako yote na Mumeo kipenzi kiwatengu.

Asante sana shemeji yangu wa ukweli! ubarikiwe sana..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
happy birthday shemeji yangu kipenzi shansarie sina kubwa la kukuzawadia zaidi ya i love you..........hongera kaka kiwatengu kwa kuutunza uzuri wa mrembo wetu mbarikiwe nanyi nyote

oh! mbona hiyo zawadi ulo mpa ni kubwa sana? thank you sana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…