Happy Birthday Mke wangu Mpenzi...

Happy Birthday Mke wangu Mpenzi...

160636.gif


Mrs. kiwatengu

ubarikiwe santeee
 
Leo tarehe 20 November!
Ni siku ya furaha sana sana!
Mpenzi wa moyo wangu shansarie anatimiza miaka kadhaa..
Honey!
Umepitia mengi katika haya maisha ya duniani, nakupongeza sana kwa kuyakabili magumu yote na kuzidi kusonga mbele.
Mungu awe na wewe siku zote..

Happy birthday to you.

I LOVE YOU SO MUCH!!

Copy kwa ndugu na marafiki zangu wote wa JF.
few to mention..
Baba V, Mamndenyi, Arushaone, watu8 & ur wife, Ablessed, Madame B, Heaven on Earth, mwallu, DEMBA, KOKUTONA, The secretary, Mr Rocky, Lady doctor, Erickb52, Chocs, Mwanyasi, Judgement, Paloma, sosoliso, Slave(naamini umeshapona) Mtoto halali na hela, THE BIG SHOW, Sizinga, MMAHE, mwungwana, farkhina, Mzee, kabanga, 24hrs, figganigga, gfsonwin, Ritz Filipo, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Smile, Kaizer, ladyfurahia, Asprin, LiverpoolFC, Preta, scorpion girl, tinna cute, miss chagga, Ladymasa, amu Arabela, SHIEKA, mshana jr & ur wife angel, CHAMInglady, Passion Lady, Ruttashobolwa....


happy birthday shemeji yangu kipenzi shansarie sina kubwa la kukuzawadia zaidi ya i love you..........hongera kaka kiwatengu kwa kuutunza uzuri wa mrembo wetu mbarikiwe nanyi nyote
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom