Happy Birthday Mke wangu Mpenzi...

Happy Birthday Mke wangu Mpenzi...

Happy birthday shem wangu wa ukweli.

Nakuombea maisha marefu na yenye furaha.
Ufanikiwe malengo yako ulopanga!

Happy birthday shansarie
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday shansarie,Mungu awajalie maisha marefu wewe na mume wako kipenzi chako kiwatengu,maisha ya Furaha,Amani,Afya njema na mafanikio tele.
 
Last edited by a moderator:
happy birthday mdada na mungu akupe umri mkubwa zaidi na zaidi. kiwatengu party ni wapi best?
 
Last edited by a moderator:
Leo tarehe 20 November!
Ni siku ya furaha sana sana!
Mpenzi wa moyo wangu shansarie anatimiza miaka kadhaa..
Honey!
Umepitia mengi katika haya maisha ya duniani, nakupongeza sana kwa kuyakabili magumu yote na kuzidi kusonga mbele.
Mungu awe na wewe siku zote..

Happy birthday to you.

I LOVE YOU SO MUCH!!

Copy kwa ndugu na marafiki zangu wote wa JF.
few to mention..
Baba V, Mamndenyi, Arushaone, watu8 & ur wife, Ablessed, Madame B, Heaven on Earth, mwallu, DEMBA, KOKUTONA, The secretary, Mr Rocky, Lady doctor, Erickb52, Chocs, Mwanyasi, Judgement, Paloma, sosoliso, Slave(naamini umeshapona) Mtoto halali na hela, THE BIG SHOW, Sizinga, MMAHE, mwungwana, farkhina, Mzee, kabanga, 24hrs, figganigga, gfsonwin, Ritz Filipo, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Smile, Kaizer, ladyfurahia, Asprin, LiverpoolFC, Preta, scorpion girl, tinna cute, miss chagga, Ladymasa, amu Arabela, SHIEKA, mshana jr & ur wife angel, CHAMInglady, Passion Lady, Ruttashobolwa....

Hebu mkuu mtoe mkeo basi usijeishia kumpa pongezi hapa jamvini tu
 
Last edited by a moderator:
160636.gif


Mrs. kiwatengu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom