Makamanda hawaombi vocha,waomba vocha wapo lumumbautakalia majungu mwenzio keshaga pata exposure, usikute hata bando umeomba kwa shemeji ako. Hela aliyo nayo anauwezo wa kuwalisheni BAvicha na Bawacha kambi nzima mwaka mzima.
shosti kumbe upo umepotelea wapi best
Hakui kama kina Michael Essien na Nwanko Kanu[emoji23]Mbona anazeeka wakati bado mdogo Sana.