Happy birthday MinnieπŸ’›

Kili hainatofauti na soft drink

😎😎😎😎

Kili lager?.
Anyway tunakunywa kwa starehe .
Unapiga Kili zako 6 - 8. Unaenjoy kuangalia mpira au kuwa na wana. Baadae saa 4 hiv usiku unaenda home kula na kulala vizur kabisa.

Na unaamka saa 12 asubuh bila hangover na mishe zinaendelea kama kawa.

Ijumaa kama leo ndio unajiloweka. 😎😎😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…