Happy birthday Minnie💛

Happy birthday Minnie💛

Screenshot_20240825-201508~2_083936.jpg
 
Sasa beibi ni mambo Gani ya kuniandikia kizungu Tena ?

Ene way nafurahi sana siku yangu leo 🤗 acha nilewe mama la mama 🥰
Sentensi ya mwisho ukitoa hilo neno mama la mama basi ndugu Dr am 4 real PhD na mimi ingekuwa vyema siku yako ituhusu kwa chochote chenye uwezo wa kulewesha ili tukukabidhi zawadi zetu ,sababu ulijua kutuwazisha sana mwanetu .

Anyway happy birthday rafiki yangu tusiyejuana hata usoni ila naona tukimingle sana ,enjoy the day nigga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom