Happy Birthday Maxence Melo

Happy Birthday Maxence Melo

Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Heri Ya Sikukuu Yako Ya Kuzaliwa
Mungu Akupe Afya Njema, Maisha Marefu
Hekma, Busara, Uvumilivu, Utu Wema
🥞🌮🍲🥗🥗🍖🥪🎙🎵🎶🎵🎵
 
Dah...Safi...na uendelee kukwepa mishale mingi zaidi....kwa raha na starehe...ninakuombea
 
Mello toeni hiyo ishu ya kupigana ban, huu ni mtandao kila mtu ana mawazo yake sio kupangiana cha kuandika. Wengine hatuna unafiki otherwise mimi ntakua mwenyekiti wa wapigwa ban.
 
Kheri, furaha na baraka unapokumbuka Siku ya kuzaliwa kwako. Ahsante kwa JF!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom