Happy Birthday MATY

Happy Birthday MATY

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Leo ni siku yako ya kuzaliwa,
Ninakuombea kila la heri katika
siku hii njema. Mungu akujalie
uifurahie siku hii na nyingi zijazo
kwa AFYA FURAHA TELE.
HAPPY BIRTH DAY MATY
 
Hongera zake MATY kwa kutimiza umri wa miaka kadhaa. Ila sijajua kua huyu MATY ni mwanao ama mpwao ama mdogo wako ama?
 
Happy birthday maty,

mungu akujalie maisha marefu yenye furaha, amani, upendo na afya njema siku zote!
 
Hongera zake MATY kwa kutimiza umri wa miaka kadhaa. Ila sijajua kua huyu MATY ni mwanao ama mpwao ama mdogo wako ama?
Hakuna uhusiano zaidi ya kuwa ni mwanajamii mwenzangu/mwenzetu katika JamiiForums, kama tulivyo sote.
 
images
Maty
 
aisee...!

hivi maty anatumia aidii gani ciku iz?

hongera sana maty
 
Happy birthday Maty,have a blust and enjoy to the fullest
 
Happy birthday Maty,nakutakia maisha marefu na yenye mafanikio
 
Damn...almost missed!

HBD bana....HBD maty!
 
I didn't see this, Happy Birthday Maty... Sorry nimechelewa kuiona...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom