Happy birthday masai dada

hahahhah tatizo umezaliwa ocean road ujaelewa hata what i mean
Ila tukiweka masihara pembeni nikupongeze kwa kuongeza mwaka mmoja kwenye timeline yako mkuu...unajua haya maisha yamekuwa mafupi kama skirt za mabint wa shule wanaoanza kupevuka! Other comes for short visit....
 
asante mamii
hata keki siwezi kula sababu ya flue yaani nilipanga nikalale kigamboni huko ama mbali kabisa huko
SEMA MVUA MUDA WOTE YAWEZA NYESHA MADARAJA YAKAKATIKA NIKASHINDWA KURUDI
naogopa rungu la bosi

Hahhghaaaahhhhaaaaa
 
Mungu akujaalie afya njema na mafanikio Maasai dada
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday mpwa wangu how young are you now
 
Ila tukiweka masihara pembeni nikupongeze kwa kuongeza mwaka mmoja kwenye timeline yako mkuu...unajua haya maisha yamekuwa mafupi kama skirt za mabint wa shule wanaoanza kupevuka! Other comes for short visit....

asante mkuu
ukipata muda enjoy mkuu maisha yashakuwa mafupi kama flana ya BISHOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…