Mtapotea nyiee ila sio Smart. He's so unique and amazing.Generation ya wanaume (baba na babu zetu kurudi hadi kwa Adam) wanaowekeza vingi k.v attention resources na mda kwenye talking stage kwa mwanamke, huku wao wakipata chenga chenga za mkate, inaenda kuisha taratibu, jinsi maarifa yanavoongezeka, chivalrous men kama kina smart911 wanazidi kupotea..
Wadada wengi mtandaoni wanalalamika na sisi wanaume kwenye early stage za mahusiano tunapiga vizinga wadada 😁 tena wanasema kauli za wanaume hao zipo hivi (mamtu una elfu tano hapo) nikajiuliza dooh ni kweli au story, kama ni kweli, male species tumefikaje hapo 😮💨 binti kiziwi ephen_ ShesRise_1
Weeee mr vouuuuu upogo??????😄😄😄Muache asome kwanza
Aweeeeeeehhh . He's self contained full package haitaji kusaidiwaaaaa....Wacha weee kwamba yeye ule mfereji wa Homz anapita bila vikwazo vya mojtaba khomenei?
Vp kibunda pia anacho? Kama hana pm yangu ipo waz...
Kuna enye hawapendi kuona watu wakifurahi ephen wataleta visirani vyaoo ilimradi tu!Naonaga jf hakuna kitu kinaitwa kuharibu uzi hasa MMU na Chitchat tunavyoongea ndo uzi unatembea🤔
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄Sijakuelewa ulichoandika
Unasumbuliwa na mapenzi?
Safi SANA kwenye strait of Hormuz mojitaba ameruhusu kupitia kweli au mwisho OmanAweeeeeeehhh . He's self contained full package haitaji kusaidiwaaaaa....
Utakufa nakiroho pupa weye! Mtuo ana kazi kweli kweliHapana, mimi sio hiyo sample ya kina mamtu, napenda sana kutoa hela kwa mwanamke ninaempenda (ila naangalia na mwanamke mwenyewe jinsi anavyoni-treat) ShesRise_1
Mbona hujaniambia asante?😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Asantree kipenziMbona hujaniambia asante?
Umezipenda?Asantree kipenzi
Kuna jamaa tulikutana tu kariakoo akaniuzia sandal pale China plaza na jezi ya Taifa ya Congo last year, tukabadilishana namba akawa mwanangu tunapigana banter kabisa whatsap maana yeye ni manU leo naona kapost status akiwa kavaa nguo za maafsa polisi anatunukiwa nyota leo🙌I know rafiki usiwazeee!
Santo sana zawadi napokea as usual
Kilaza mieee lugha ngumu nilifeligi sielewi uchomaanisha aseeSafi SANA kwenye strait of Hormuz mojitaba ameruhusu kupitia kweli au mwisho Oman
Mnoooooo dear!!Umezipenda?
Hongera zakeeeKuna jamaa tulikutana tu kariakoo akaniuzia sandal pale China plaza na jezi ya Taifa ya Congo last year, tukabadilishana namba akawa mwanangu tunapigana banter kabisa whatsap maana yeye ni manU leo naona kapost status akiwa kavaa nguo za maafsa polisi anatunukiwa nyota leo🙌
Nikajua hajakufikishia mzigo wanguMnoooooo dear!!
Kafikisha kipenzi be blessed 💗Nikajua hajakufikishia mzigo wangu
Aah bas madam nilitumia TU tafsida ila hongera SANA KAPO YENU IDUMU ZAIDIKilaza mieee lugha ngumu nilifeligi sielewi uchomaanisha asee