Happy birthday Madame B

Many many many happy returns Madame Bey :happy: bday jumapili wow una bahati hope u enjoy ur day and make it the most memorable one...i hope you havent yet hit 30 so you've still got plenty of years ahead of ya!! :happy:
 
Nyie wangoni nawaogopa,
.Msije nibeba bure,maana nyie pesa inafika,ila mwanamke hafiki.
BTW Thanx sana.

Tunapewaga mafunzo ya "Tender loving care" ambayo huwezi pata kwa kabila ingine yoyote duniani! waulize Preta, Erick B52, TANMO, BOFLO, Chimungu na Hata watu8 roho juu kwa vitu vya kingoni!!! Hahaha karibu sana
 
ayaaaaaaa.....sikubali.....hii mbona sikuona......anyway....sijachelewa......Happy Birthday bi shostito......
 
Yupo na private car sasa na wasiwasi miguu yako itaingia ndani kwa kusubiri.




Leo ni siku yako mpya hapa duniani, hongera kwa kutimiza miaka kadhaa toka uje hapa duniani, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye baraka na afya, sina mengi ya kusema, ila nasema hongera kwa siku ya leo

HAPPY BIRTHDAY
 
Yupo na private car sasa na wasiwasi miguu yako itaingia ndani kwa kusubiri bibie c Charminglady C6.




Leo ni siku yako mpya hapa duniani, hongera kwa kutimiza miaka kadhaa toka uje hapa duniani, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye baraka na afya, sina mengi ya kusema, ila nasema hongera kwa siku ya leo

HAPPY BIRTHDAY
 
K, tuweke kauli kiurahisi,charminglady ni shem wangu kwa C6,n i wonder kwenye function kama hizo aje mwenyewe ilhali ni couples na C6? Hvo ndo nilivomaanisha mamii
One million dollar question kwa my bro C6,where where you?



Wangu mbona hujaeleweka?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…