Happy birthday Madame B

Hahahahahahahahahaha
wala sijawa mpole na niwe mpole kwa sababu gani?
Nimeona ni kuache upumue!

Nimekuona jana sehemu una rusha ndowano sema haikunasa samaki, pole sana!

Nimelala salama kaka mbona umekuwa mpole sana siku za karibuni,sipati tena vitisho toka kwako Kamanda
 
Afu Shem Unantafuta eeee...!!!!!

Shem am so sorry kama nimekugusa sehemu finyu! Afu wajua shem si uniazime nyota yako nami nsafirie!
Huko ulikofanyia rinyuu sio siri wanayaweza.
 
Hahahahahahahahahaha
wala sijawa mpole na niwe mpole kwa sababu gani?
Nimeona ni kuache upumue!

Nimekuona jana sehemu una rusha ndowano sema haikunasa samaki, pole sana!

Hahahahahahhahah,uchune basi loya,si unajua atafutaye hachoki na akichoka ujue keshapata,vipi lakini hizi tetesi nazozisikia..??
 
Hahahahahahahahahaha
haya nimeuchuna!
Tetesi gani hizo umesikia!

Hahahahahahhahah,uchune basi loya,si unajua atafutaye hachoki na akichoka ujue keshapata,vipi lakini hizi tetesi nazozisikia..??
 
Acha ujinga dogo, usipende kuharibu sherehe za watu, HAPPY BIRTHDAY Madame B , usimsikilize huyo sharobaro wa arusha

Angejua mi nimeshaanza kuzifanyia mazoezi hizo vitu afu ye anataka kuzi ban. Hapa nshazunguka uwanja mara3 navuta mida kusubiri ratiba ya Madame B
 
Last edited by a moderator:
My heartfelt congratulations on ur bday Madame B. Wajua u mwalimu wangu nikupendaye. Nitajitahidi niwepo kwen mnuso.
Kijino asante kwa kutujuza hii hbr njema!

si unajua mkubwa ndiye mtunza kumbukumbu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…