Na wewe gongo linakulandua akili! Vuta bhange kichwa ikae sawa! Umenisahau mie mdogo wako,jina la home liligoma kusajiliwa jf,kha!
Babu Aspirin anauliza bia zitakuwepo?
Tatizo lako unakula chips kwa tomato afu unalipuliza! Shurti ugali wa maana hata jirani upande wa pili humuoni! Ohoo!
Happy Birthday Lizzy
Afu TF we unavizia tuu birthday za watu eehhh