shikamooo kaka
nataka kukunyima tamu yangu... me sijambo sanaUnanisalimia hivyo wataka kuninyima nini .......lol!!!!
Marhabaa mrembo hujambo??
nataka kukunyima tamu yangu... me sijambo sana
miss neddy .........!!!!!!!!!nakupa zawadi ya MATHAYO MTAKATIFU 7:24-25
neno la mungu likawe ngome yako
shetani asipate kukuangusha
ukaishi maisha ya kumpendeza mungu na uwe mwema kwa watu wote
pia pokea zawadi hii
WATHESALONIKE 5:16
maisha yako yakawe ya furaha siku zote
uso wako upambwe na tabasamu kutoka pande zote hususani kutoka kwa wana jf
maana sisi ni marafiki wa kweli daima
[SUP]6 [/SUP]Humble yourselves, therefore, under Gods mighty hand, that he may lift you up in due time. [SUP]7 [/SUP]Cast all your anxiety on him because he cares for you.
[SUP]8 [/SUP]Be alert and of sober mind. Your enemy the devil prowls around like a roaring lion looking for someone to devour. [SUP]9 [/SUP]Resist him, standing firm in the faith, because you know that the family of believers throughout the world is undergoing the same kind of sufferings.
[SUP]10 [/SUP]And the God of all grace, who called you to his eternal glory in Christ, after you have suffered a little while, will himself restore you and make you strong, firm and steadfast. [SUP]11 [/SUP]To him be the power for ever and ever. Amen.
miss neddy .........!!!!!!!!!
Hebu wacha roho mbaya wewe
Kwani wewe umeinunua hadi unaninyima??
Hebu acha zako bana
Vipi lakini maendeleo ..........!!!
mangaluke Eiyer..nashika