ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Kwenye red, kama ulimanisha kugunduwa sawa ila kuumba hapana maana mwenye uwezo wa kuumba ni Mungu pekee. Katika sayansi ukigunduwa kitu lazima kiwekwe kwenye jopo la wanasayansi wakitolee maoni na siyo wewe peke yako ukiamulie hatima yake.Je ni rahisi kuumba kitu kwa mtazamo wako na kikawepo?
Je ni Rahisi kuvumbua kitu bila kuwa na hekima toka kwa Mungu au
Kipaji toka kwa Mungu?
Je ni rahisi kujiumba upya?
Mbonyi tsapfo Mentor
Happy birthday kaka mkubwa. Mungu akujalie maisha mema ya furaha na amani na baraka zikawe juu yako. Ubarikiwe sana sana mkuu
Happy birthday twin......
Sasa kwanini umempongeza??