####### Happy Birthday Kivumah######

hata wagosi tuna utani na wapare, hao wa mbege ni wachaga, mie ntaleta BOHA (pombe ya miwa) na MNAZI,

mmmhhh
unanitamanisha eti loohh..
ntamwomba DENA atuletee Mangure na Busa..
 
ladies wapo .. Hizo idara hapo juu ni uangalizi tu ..
haupiki wala nini .. wafika pale chukua check list
hakikisha kila kitu kipo hapo .. halafu unaelekea ukumbini basi..
(V.I.P section..)

nimesha tayarisha chief, waiters na waitress ...



Weee Mkaree!! Sherehe hapo itaenda....lol...
 
HAppy Bday Kivuma na hongera kwa kugonga hapo...kama alivosema Sangara akimnukuu Lincoln, kitakachotukumbusha uwepo wako ni maisha uliyoishi sio umri!

Love AshaDii hebu tujiandae twende...today I want you to have that look that kills me off...nitakuwa na ile pistol kama kawaida just in case
 
 
Subiria kwanza, manake The Finest na Kaizer ndo tuliwapta tenda ya kutafuta ukumbi, sasa huyu AshaDiianajua na anaweza kuvujisha siri kwa Kivumah wakati hii ni suprise

Ntamkeep Busy leo ijumaa ako na mimi tu ndani @Sizinga lol...najua mpenzi wangu anapendaga nini...
 

Love I am telling you nimejipanga!! (i hope tusiahirishe safari kama last time nilipotoka 'exy...) I was so MAD!! lol
 
The Finest na Kaizer combination mbaya sana hiyo..
utawakuta counter ya juu mchana kweupe..
Hapo umeniangusha ntafutie watu
wengine chop chop please thanx...๐Ÿ™‚

hahaha So AD, tupewe kamati ya vinywaji kabisa? Manake hapo tu tenda ya kutafuta ukumbi imekuwa nongwa:tongue:
 

Thanx Kiongozi. Sante sana.
@Red, ya kwako Nakushauri usiiiweke kiononi
 
hiiii! bilashaka hiyo part itakuwa ya ukweli, pombe zote za kienyeji? hakuna wa kutoka iringa hapa amletee kivumah ulanzi maana yeye kazoea dengelua tu! hahahahaha!

mmhhh
yaonekana we wajua zaidi yangu ikija kwenye za kienyeji ..
yabidi nkuachie hiyo kazi mkuu.. wa Mwanza, Singida , Tabora na
kote kwenye Pombe za kienyejizina karibishwa ๐Ÿ™‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ