Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,368
Mkuu Kivumah ni muhimu leo usifurahie tu kua You are
one year older… La msingi ni kumshukuru
Mungu pia kua you are indeed one year older…
Heri na fanaka viwe nawe hasa siku hii...
Marafiki zako twakutakia siku njema ya kuzaliwa.
Note.
And in the end, it's not the years in your life that count. It's the life in your years.
~ Abraham Lincoln ~
Thank U My DearHappy birthday!!!
Asante Sana Mkubwa.Happy birthday mkubwa.
OTIS.
Thank U My Dear
kumbe umezaliwa siku moja na mkuu wa kaya ila tu usiwe kama yeye ndio ninachokuhasa..
Asante kakailitakiwa uwe unawagonga thanks tu.
Happy birthday ankoli Kivumah..
Asante Wangu.
Asante Bei Mbayaaa. Unatisha Mtu wa Bei mbaya tu weye. hhhaaahHeri ya kuzaliwa Kiv....
..@ Red, hhaaaa hhhaa. Siongezi Neno Mkuu.kumbe umezaliwa siku moja na mkuu wa kaya ila tu usiwe kama yeye ndio ninachokuhasa..
HappyBirthday kijana, mi nshamega pande langu la keki najichana tu hapa...lol, karibu tule Afrodenzi....hahaaa