Happy birthday mpendwa King'asti... Mungu azidi kukupa maisha marefu...

Happy Birthday to you, Happy Birthday to you, Happy Birthday King'asti, Happy Birthday to youuuuuuu and many more!...

Yeye ndo mwenyekiti wa kamati ya sherehe za Birthday na Anniversaries za wanachama hai wa MMU......Mie nauliza tu, hivi huyu AshaDii ndio anetunza kalenda za Anniversarry za watu wa jukwaa la MMU? maana hata miaka 30 ya ndoa ya Faiza Foxy alitujuza yeye huyu.
Am just asking........

Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa King'asti (Damn, majina mengine kuyataja shurti uwe umeshiba)

Mungu akuongezee miaka mingine mingi, uishi mpaka uwaone wajukuu wa wanao.

Ujaliwe kupata watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula, akuongezee maarifa na juhudi uweze kuhangaika kuwatafutia chakula wale mpaka wasaze. Ili wakuimbie wimbo wa siku yako ya kuzaliwa wakati ukizima mshumaa wako wa 75.

Samahani kiinglishi hakipandi kwahiyo sijui kama haya maombi na hizi heri nlizokutakia kama zina mashiko kwa Griit Thinkaz.... Ila namini Mungu amezipokea.

King'asti (damn jina hili bana) na AshaDii semeni Amina. Kwa herufi kubwa.

Happy Birthday King'asti may this year be your best ever and this day always be the special one to remember may today be filled with sunshine and smiles, laughter and love

Happy Birthday King'asti. May you be blessed with more years of happiness.
Kwenye kula asiwepo Asprin maana huyu jamaa ni balaathanks humble guardian. amen to ur prayer. can we eat now?

Mie nauliza tu, hivi huyu AshaDii ndio anetunza kalenda za Anniversarry za watu wa jukwaa la MMU? maana hata miaka 30 ya ndoa ya Faiza Foxy alitujuza yeye huyu.

Am just asking........
Khaaa!Kwenye kula asiwepo Asprin maana huyu jamaa ni balaa

Kwenye kula asiwepo Asprin maana huyu jamaa ni balaa