Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Mbona hutaki kaka yake?
Wadada ninao wengi wanatosha! LOL
Mbona hutaki kaka yake?
Ha ha ha asante Shemeji, ila kwa nani sasa jamani?
Asante sana Destiny, ubarikiwe sanaHappy birthday Kambaku
Thanks Kaizer kwa birthday wishes.........., huyo Mwali mi naona ananiyeyusha tu, namaliza hela zangu bure, simtambulishi popote nishaghairi mimi
mambo poa. mwenzio napigwa biti eti nisikupungie hata mkono.
ccm ni chamba cha wachumia tumbo tena kwa njia zisizo halali...
Najua za kwangu zitakuwa zimechelewa lakini ni bora ukachelewa lakini ukafikaJamani huyu kaka ni ndugu yangu huku uraiani.
I mean nje ya JF na socia network tunaungugu wa kweli
Yaani baba yake na mama yangu ni kaka na dada
Kwa kiswahili tunaita binam ila mimi namwita kaka
Kila nikimwita binam anachangamka suspiciously...:twitch:
Kwa leo nipo dayshift, siwezi kukaa in the thread
ila nawaombeni wanachit chat kunifikishia ujumbe
(Hapa I mean wanachit chat wote, AshaDii, Kongosho Bishanga, Swts, Cantalisia, sweetlady, charminglady Erickb52, Arushaone, platozoom, Meezy Young_master, Kaizer, Asprin, EMT, Sokwe Mjanja
, @c6, Bujibuji, Mamndenyi (NAMuomba dada afrodenzi anisaidie na kakadi kazuriiii)
na wengine wote ambao wanaguswa na upendo wangu kwake)
Dear Kambaku, have the best of birthdays
faham dada yako nakukumbuka sana na nakuombea
uwe na maisha marefu yenye mafanikio na amani
yajae baraka na neema za Allah, yajae upendo
na juu ya yote nakutakia upate mapenzi ya dhati
You deserve nothing but the best for this year.
Wako Mwali
![]()