Happy birthday Kamanda wa anga

Happy birthday Kamanda wa anga

kwa heshima yake nimelog in. Happy Birthday Kamanda, Mungu azidi kukutangualia. Dhamira safi huzaa kazi zilizobarikiwa. Kazi zilizobarikiwa daima hafutiki. Heshima kwako Freeman Mbowe.

pamoja sana mkuu
 
Today is also my bday

kamanda freeman mbowe amekuwakilisha."hpy brthd njema mkuu" nakutakia malezi mema yenye busara ktk kipindi chote cha uhai wako mkuu na wale wote mnao adhimisha siku zenu za kuzaliwa siku hii ya leo
 
Watanzania na wanachadema kwa umoja wetu,tunaungana kupitia jamiforum kukutakia happy birthday njema kwako kwa kuzaliwa siku kama hii ya leo ambayo watanzania wanatimiza miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika kutoka kwa waingereza.
Kupitia pongezi hizi kwako,tunakuombea maisha marefu na harakati njema za kumuelimisha mtanganyika kutoka ktk ujinga ambao bado atuja kombolewa kutoka kwa watawala.
Peoplees.....power!!!

NITOE MM KWENYE HIZO SALAMU,sitaki nimpe salamu dikte..ta
 
Back
Top Bottom