utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
Happy birthday gorgeousmimi Mungu akupe maisha marefu
Last edited by a moderator:
Hivi huwa mnajuaje birthdays za watu wa humu JF?
Happy birthday dada mdogo jamani mwaka huu upewe zaidi ya maombi yako kwani Mungu hutoa zaidi ya tuombavyo.
ha haa, rafiki umenifanya nirudi kuangalia ID yake tena, lol!Happy birthday mimi...stay blessed
^^
Mbele Mungu akutangulie,
Nyuma Mungu akulinde,
Pembeni Mungu akutetee,
Chini Mungu akuinue,
Juu Mungu akufikishe.
Happy Birthday to you!!
^^
Hivi huwa mnajuaje birthdays za watu wa humu JF?
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako gorgeousmimi!
Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha,afya njema, fanaka na baraka tele.
ha haa, rafiki umenifanya nirudi kuangalia ID yake tena, lol!
Happy birthday gorgeous.....
Shurkan Mkoroshokigoli kwa kuchukua fursa na wakati wako kuniazishia uzi huu,much appreciated 🙂i have to admit JF have gave me true friends who have a huge impact on my life,who are always there to support me wherever i am even though i am far from them!Two words of wisdom advice can make a change on someones life!Thnx for all members of JF who are here on this thread to celebrate this special day with me,ahsanteni kwa dua zenu na birthday wishes mlizonitakia! Long live Jamiiforums!nitakuwa si mwema wa fadhila kutokumshuru mungu kwa kunipa uhai,uzima,afya njema na kila neema kwenye maisha yangu,bila kumsahau mama gorgeousmimi kwa uchungu aloupata siku hii ya leo!Ahsante wapendwa woteWana MMU habari,
Leo mwana MMU mwenzetu gorgeousmimi anasheherekea siku yake ya kuzaliwa ningependa kutumia jukwaa hili kumtakia kila la kheri katika siku yake hii ambapo amesogeza umri wake,Mwenyezimungu amjaalie kwa kila jema,ampe afya njema.
Happy Birthday gorgeousmimi
Shurkan Mkoroshokigoli kwa kuchukua fursa na wakati wako kuniazishia uzi huu,much appreciated 🙂i have to admit JF have gave me true friends who have a huge impact on my life,who are always there to support me wherever i am even though i am far from them!Two words of wisdom advice can make a change on someones life!Thnx for all members of JF who are here on this thread to celebrate this special day with me,ahsanteni kwa dua zenu na birthday wishes mlizonitakia! Long live Jamiiforums!nitakuwa si mwema wa fadhila kutokumshuru mungu kwa kunipa uhai,uzima,afya njema na kila neema kwenye maisha yangu,bila kumsahau mama gorgeousmimi kwa uchungu aloupata siku hii ya leo!Ahsante wapendwa wote
Vaislay tinna cute Eli79 miss neddy The Boss Himidini Ablessed BAK Kim nana Fixed Point Kennedy utafiti mwekundu KhantweEvelyn Salt Sandeni sungura1980 watu8 ICHANA Rogie Nokia83 Mtoto halali na hela figganigga!
Shurkan Mkoroshokigoli kwa kuchukua fursa na wakati wako kuniazishia uzi huu,much appreciated 🙂i have to admit JF have gave me true friends who have a huge impact on my life,who are always there to support me wherever i am even though i am far from them!