Happy birthday to CHADEMA Chairman; Freeman Mbowe.
Huu uchaguzi wa mwenyekiti sijui ni coincidence(mgongano) wa/ni siku ya kuzaliwa au vipi!
By the way all the best wishes KAMANDA WA ANGA.
Napongezi za dhati kwa kuimarisha upinzani ndani ya ardhi ya Tanzania.
Mungu akubariki.
kazaliwa September 14, 1961
Kwa hiyo kama siku imepangwa ikaangukia tarehe ya kuzaliwa kwake ni matumizi mabaya ya madaraka. Mbona unakuwa na fikra hasi hivyo, ni kwa maslaji ya nani unaleta uzii huu? Hivi ukipuuzwa au kurushiwa madongo utamlaumu nani?
Tafakari na badilika!
Katika hali inayoashiria kuwa chadema ni ya familia ya mtu, mwenyekiti wa chama hicho amepanga siku ya mkutano mkuu wa chama siku ambayo yeye alizaliwa..haya ni matumizi mabaya ya madaraka kutumia matukio ya chama kwa maslahi binafsi
Name Calling