Happy Birthday Kamanda Mbowe kwa kutimiza miaka 54. Mungu akujaalie umri mrefu zaidi ili uweze kutuongoza vizuri katika haya mabadiliko ya kumtoa Mkoloni mweusi.
Naamini kwa umri wako huu wa miaka 54 ambao ndio umri wa Uhuru wetu utakua umeshuhudia jinsi tulivyobaki nyuma kimaendeleo kulingana na miaka tuliyonayo. Hivyo wewe kama Freeman (Mtu-huru) kwa kushirikiana na Wana-UKAWA wengine tunakutegemea uwe chachu ya Uhuru wetu Watanzania.
Happy birthday kamanda. Wishing you many good years