Happy birthday Freeman Mbowe

Happy birthday Freeman Mbowe

Happy Birthday to him

Hizo rose emoji ndo kumaanisha unampa maua yake au?
 
Happy birthday Freeman Mbowe 🌹🌹🌹

Mungu akulinde hasa katika zama hizi ngumu za Teka Teka

Sabato Njema 😀
Happy bday kiongozi wangu wa wakati wote. Asante kwa uliyoifanyia nchi ya Tanzania. Mungu akulinde na kizazi chako miaka 10,000 mbele. Libarikiwe tumbo lililotuletea huyu mwamba dunia hii
 
Happy birthday Mr. Chairman. Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu! 🎁🎉🎈
 
Back
Top Bottom