afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
yes my dear is that day again
kwanza kabisa twapenda kukupongeza
kwa kuwa hapa tangu mwaka wa 2007..
lakini cha muhimu zaidi twapenda kukutakia upendo, amani, na baraka zote my dear
kwa mwaka huu kwa miaka mingi ijayo.
kutoka kwa wana JF wote tungependa kusema HAPPY BIRTHDAY FIRST LADY
naona kuna mjuuku wako my dear yeye kajiunga nasi mwaka huu wa2011
na mme share birthday
Tungependa kumkaribisha ukumbini
na kikubwa zaidi kumtakia kila la kheri kwa siku hii ya leo na baraka tele kwa miaka
mingi ijiyo..
HAPPY BIRTHDAY NATHJOHN...
(tumechelewa kidogo wapendwa kusherehekea nanyi mtu samahe bure)