Happy Birthday Firstlady & nathJohn

Aisee Afroo nani alikudanganya sikupendi tena? We ni kajukuu kaziwanda kangu, hakuna anayeweza kupokonya nafasi yako.

Hebu njoo huku chumbani

haka mie chumbani siji tena
wewe mtume yule njiwa aniletee
habari kama unamatatizo kwani
naona siku hizi wafuata wajukuu wapya na mie umeniweka pembeni..
ukiwa na tatizo tu ndo wanitafuta..
haya babu ..
wanifanya mie ni :A S 20::A S 20:
na TF ndo hanitaki tena mie na shida tu..
mmmhh sijui na balaa gani
 
Kwakwl nashangaa nimerusha post tatu tofauti sizioni,au cm yngu inamatatzo.moja ilikuwa yaenda kwa Regia,bigrita na babu matiti
 
Happy Birthday NathJohn.MUNGU akufanikishe ufikie matamanio yako.

Happy Birthday my lovely friend FL.Hongera sana kwa kufikisha umri ulionao sasa.MUNGU akutangulie na awe pamoja nawe katika maisha yako na afanikishe ndoto zako na malengo yako uliyojipangia.Akupe upendeleo aliowapa wanawaisrael wakati wantaoka Misri.

Nakuandalia pati ya kukupongeza lakini itafanyika jumamosi nyumbani kwangu.Pati hii itainclude Ladies tu.Kwahiyo wadada wote wa JF mtakaopenda kuungana nami katika kumpongeza rafiki yangu FL mnakaribishwa sana.Mnaweza mkaniPM for more information.


Ni kwa wadada tu!!!
I love You My Friend FL.

asante mpenzi kwa wishes nzuri nami nakupenda sana.zaidi nimefurahi na kufarijika sana kuhusu hiyo pati ya jumamosi .nami nawaomba wadada wa jf wasikose maana ntafurahi sana kuwaona na itakuwa ni faraja ya aina yake kwangu .bytheway kuhusu bigrita km ananguvu ya kukaa katikati ya wadada we mkaribishe tu.
 
Eheee! Sasa hapo unaongea! Fl, mm ni dereva tax wako jmosi to Regia's residence.

niko tayari uwe dereva wangu siku hiyo ila kwanza nataka kuanzia kesho uwe unanifuata home na kunipeleka mjini na kunirudisha ili nipime uzoefu wako barabarani.ni pm nikuelekeze kwangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom