Happy Birthday Firstlady & nathJohn

Happy Birthday Firstlady & nathJohn

Happy birthday wote.
Muishi maisha marefu yenye furaha.
 
ila naona hizi birthday wishes mahali pake ni Advice and Complaints Forums badala ya humu

Heri ya kuzaliwa baby gal & baby boy
 
dah!kweli mwaka huu umeniamulia,,nifanye nn unipende basi?me loves anyway
Waoohh!
How sweet you are dear!
Nenda PM kuna maelekezo mazuri...you have made my day!
Nipe na namba ya ko ya simu!
 
Happy birthday wote mliozaliwa leo...
 
Leo unaikumbuka, sikuyo ya kuzaliwa,
Ni siku yenye Baraka, furaha tele kujawa,
Furaha iso pimika, shukurani kuzitowa,
Heri FirstLady1, kwa siku yako ya kuzaliwa.

Mwanaharakati wetu, utujuzaye maisha,
Wewe ni darasa kwetu, maarifa yaso kwisha,
Wafunza juu ya utu, mengi watuelimisha,
Heri Nathjohn, kwa siku yako ya kuzaliwa.

Mashairi kwa hisani ya Malenga Wetu lol
 
Nawatakia wote heri ya kuzaliwa!
Sababu nyingine hii
 
Happy Birthday NathJohn.MUNGU akufanikishe ufikie matamanio yako.

Happy Birthday my lovely friend FL.Hongera sana kwa kufikisha umri ulionao sasa.MUNGU akutangulie na awe pamoja nawe katika maisha yako na afanikishe ndoto zako na malengo yako uliyojipangia.Akupe upendeleo aliowapa wanawaisrael wakati wantaoka Misri.

Nakuandalia pati ya kukupongeza lakini itafanyika jumamosi nyumbani kwangu.Pati hii itainclude Ladies tu.Kwahiyo wadada wote wa JF mtakaopenda kuungana nami katika kumpongeza rafiki yangu FL mnakaribishwa sana.Mnaweza mkaniPM for more information.


Ni kwa wadada tu!!!
I love You My Friend FL.
 
Hongereni ku kufikisha miaka mliyonayo sasa.
Mpate miaka mingi zaidi na mafanikio zaidi na upendo zaidi na amani zaidi.
Mungu akawatangulie nyote, kazi za mikono yenu zibarikiwe na ndoto zenu zipate kutimia.
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Happy Birthday NathJohn.MUNGU akufanikishe ufikie matamanio yako.

Happy Birthday my lovely friend FL1.Hongera sana kwa kufikisha umri ulionao sasa.MUNGU akutangulie na awe pamoja nawe katika maisha yako na afanikishe ndoto zako na malengo yako uliyojipangia.Akupe upendeleo aliowapa wanawaisrael wakati wantaoka Misri.

Nakuandalia pati ya kukupongeza lakini itafanyika jumamosi nyumbani kwangu.Pati hii itainclude Ladies tu.Kwahiyo wadada wote wa JF mtakaopenda kuungana nami katika kumpongeza rafiki yangu FL1 mnakaribishwa sana.Mnaweza mkaniPM for more information.


Ni kwa wadada tu!!!
I love You My Friend FL1.

RM, mbona umeweka msisitizo sana? kwani ni kitchen party? si birthday tu jamani.
Naomba mm nije kwa hisani ya wakaka wa Jf.
 
RM, mbona umeweka msisitizo sana? kwani ni kitchen party? si birthday tu jamani.
Naomba mm nije kwa hisani ya wakaka wa Jf.

Sio kitchen party lakini napenda iwe hivyo.Ila kwakuwa umeomba.Ngoja nifanye mawasiliano na FL halafu nitakujulisha.
 
Hongereni nyie watoto mnaoadhimisha siku yenu ya kuzaliwa

Babu anawapendeni na anawasubiri huku kuwakagua
 
Sio kitchen party lakini napenda iwe hivyo.Ila kwakuwa umeomba.Ngoja nifanye mawasiliano na FL halafu nitakujulisha.
Eheee! Sasa hapo unaongea! Fl, mm ni dereva tax wako jmosi to Regia's residence.
 
RM, mbona umeweka msisitizo sana? kwani ni kitchen party? si birthday tu jamani.
Naomba mm nije kwa hisani ya wakaka wa Jf.

tutaenda kuongea na mambo yetu yaleeee.
Tulia, nikirudi nitakuhadithia.
 
Asante mpnz kwa kukumbuka siku yako japo umechelewa km ulivyosema.nilizaliwa tar 30/01/1984 siku ya jumatatu saa 11 kamili alfajiri.namshukuru Mungu jana nimetimiza miaka 27 hvyo kuwa mbioni kuelekea uzeeni.asanteni nyote mlionitakia mema na baraka,nami nimefarijika sana.zaid ya yote nakushukuru tena AD kwa kukumbuka hili kwan hata firstman wngu hakukumbuka kabisa hvyo kunitia majonzi .hata mr president pia kasahau,sijui yuko wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom