Happy Birthday Elizabeth Michael 'Lulu'

Happy Birthday Elizabeth Michael 'Lulu'

Mwezi wa birthday ndo mwezi wa kumbukumbu za marehemu wapenzi wake....majizzo mjanja kaiwahi April katoka nduki
R.i.p kanumba na seki
Huenda ni coincidence tu..
Ukivaa viatu vya Lulu hata wewe utaona ni wakati mgumu kiasi alipitia.
Halafu,yaani hata hivyo,mahusiano yake na Majizzo yako palepale... Kaka kapenda,na binti kapenda.
 
Kwani warumi hayupo siku hizi? Angeweza kuthibitisha,ingawa naye information zake huwa ni bias sana.
 
Back
Top Bottom