Jamani nimefurahi sana na humbled kuanzishiwa thread. Nakushukuru sana Kaka
Kaizer kwa kuchukua muda nakukumbuka siku yangu ya kuzaliwa. Na nawashukuruni marafiki zangu wote wana JF kwa salamu njema na maneno mazuri
Asante
Mtambuzi kwa picha za kufurahisha, nashukuru sana anti
AshaDii C6 kwa ahadi ya zawadi, my dear bro
Nicas Mtei mwaJ Arushaone na my friend wa chuga dear one
Erickb52 Preta fellow Aquarian....lol sijui dada yangu
charminglady yuwapi
Yaani nawashukuru each and every one of you kwa kuifanya siku yangu iwe nzuri kwa mapendo sana.