Leo ndiyo Happy birthday yangu natimiza miaka 28

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
HABARI
Naitwa moody kabwe

Siku- ya ijumaa tarehe 25/12/1988 Mama na Baba BAKARI KABWE walibarikiwa kumpata mtoto wa kiume. Na Wakamwita mtoto

huyu MOHAMEDY BAKARI RASHIDI KABWE

Na leo ile siku imejirudia tena IJUMAA ile ile Napenda kuwashukuru BIBI ZANGU wote kwakua nimekulia katika mikono yao

na wazaz/walezi wangu kwa kunitunza/kunilea na sasa nimekuwa Baba. Nawashukuru kwa kuniepusha na mambo mabaya, magonjwa na pia vishawishi. Pia
napenda

KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU kwa kunilinda na leo natimiza miaka tena. 28 Na halafu napenda kuwapa HERI YA KUZALIWA wote waliozaliwa mwezi huu waliotimiza tayari miaka kama yangu

Nachukua nafasi hii kuwashukuru viongozi wangu wa CHADEMA wa jimbo la kinondoni kwa kunipa ujasiri wa hali ya kutosha kuweza kuwatumikia wananchi wa jimbo la kinondoni bila uonga wala vitisho

Na pia napenda kuwashukuru wabunge wote wa chadema wanaonisaidia mawazo ya kuendeleza harakati zangu bila kunibagua pindi ninapoomba ushauri kwao shukrani nyingi zaidi kwa mwenyekiti Taifa rafiki angu mh mbowe mungu akulinde na asante sana kwa ushirikiano wako kwangu

Shukurani zangu nyingine ziwafikie

YANGA WHTASAPP SUPPORTES MAKAO MAKUU na

wana GROUP WOTE WA CHANGES FOR ALL

Pamoja na CHADEMA IN BLOOD

NA CHADEMA TANZANIA

Bila kuwasahau Mashabiki wote wa YANGA AFRICA NA WANACHAMA WOTE popote pale walipo nchini Tanzania


Mmenitia nguvu sana bila ninyi isingewezekana.--NA AHSANTE SANA KWA MWAKA 2016 na IJUMAA NJEMA NA NASEMA NAWAPENDENI SANA:)....AHSANTENI WOTE.
By moody kabwe HAPPY BIRTHDAY FOR KWANGU MIMI
 
Huo uzi sio pahala pake hapa; kama vp peleka chit-chat au jukwaa la pongezi na complains
 
Hongera na pole pia kwa kuzaliwa siku kama ya leo.

Kwanini hongera na pole pia?

1. Faida: kama utafanya sherehe (iwapo ni wa imani ya ki-Kristo) utaua ndege wa wawili kwa jiwe moja-sherehe ya

Krismasi na ya kuzaliwa kwako zitasherehekewa kwa pamoja. Utaokoa gharama.

2. Hasara:Wengi siku kama hii, wapo kwenye sherehe walizojiandalia wao wenyewe (kwa watu wangu wa nguvu

Wachagga, ndo kabisaaa...wengi wao wapoKilimanjaro kuhesabiwa)
 
Hongera rafiki yangu moodykabwe,uwe na maisha marefu na yenye furaha tele.
 
Last edited by a moderator:
Asanteni nyote na walionielekeza pia asanteni sana siku nyingine sitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom