Jamani nimefurahi sana na humbled kuanzishiwa thread. Nakushukuru sana Kaka Kaizer kwa kuchukua muda nakukumbuka siku yangu ya kuzaliwa. Na nawashukuruni marafiki zangu wote wana JF kwa salamu njema na maneno mazuri
Asante Mtambuzi kwa picha za kufurahisha, nashukuru sana anti AshaDii C6 kwa ahadi ya zawadi, my dear bro Nicas Mtei mwaJ Arushaone na my friend wa chuga dear one Erickb52 Preta fellow Aquarian....lol sijui dada yangu charminglady yuwapi
Yaani nawashukuru each and every one of you kwa kuifanya siku yangu iwe nzuri kwa mapendo sana.
My Friend Elizabeth Dominic
On this special day, I wish you all the very best, all the joy you can ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrow and the days to come! May you have a fantastic birthday and many more to come...!
HAPPY BIRTHDAY!!!!
Jamani nimefurahi sana na humbled kuanzishiwa thread. Nakushukuru sana Kaka Kaizer kwa kuchukua muda nakukumbuka siku yangu ya kuzaliwa. Na nawashukuruni marafiki zangu wote wana JF kwa salamu njema na maneno mazuri
Asante Mtambuzi kwa picha za kufurahisha, nashukuru sana anti AshaDii C6 kwa ahadi ya zawadi, my dear bro Nicas Mtei mwaJ Arushaone na my friend wa chuga dear one Erickb52 Preta fellow Aquarian....lol sijui dada yangu charminglady yuwapi
Yaani nawashukuru each and every one of you kwa kuifanya siku yangu iwe nzuri kwa mapendo sana.
H.b.day dada
Asante mdada charminglady nasubiri surprise.....teh
"Asantee......shem tena? ebu nipe mwangaza" Elizabeth Dominic. Pengine kwa sababu ya haraka za J2 nimeshindwa kujieleza vema kwenye salamu zangu na ndo maana hukuelewa ushemeji umetoka wapi.Kwenye salamu nilitakiwa nimtaje shogaako Erotica.Naye anakupongeza sana kwa birthday yako.Anasema anakuandalia zawadi special.