Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,856
************************************************************
Dear Elizabeth Dominic
Kwa heshima kubwa na na taadhima, naomba kwa niaba ya familia yangu, ya wana chit chat, wana MMU na wana JF kwa ujumla, kukuwish a very HAPPY BIRTHDAY ya sikukuu yako ya kuzaliwa
Ni siku Muhimu mno kwako na kwetu, hasa tunapoangalia tumetokea wapi na tunaenda wapi.
Kwa hiyo, mimi na my wife wangu AshaDii, sweetlo gfsonwin, msiri wangu mwaJ, shemeji Zion Daughter, cacico, badili tabia na yummy (wakeze hommie Asprin), na nikitambua uwepo wa walimu wangu snowhite na Madame B,
Na wazee wenzangu kina Mtambuzi (najua tupo wote kwen party), MziziMkavu na Chimbuvu, Dark City, ladies and gentlemen wa hapa cc: Preta, marejesho, Filipo, Lily Flower, Remmy, charminglady, Arabela, kokutana, Erickb52, stevoh (pole sana) Arushaone, IGWE, YNNAH, Fidel80, Teamo,
na wengineo woote tujumuike kumtakia heri mpendwa wetu Elizabeth Dominic Mungu akupe maisha marefu zaidi, na mafanikio tele, uishi kuona miaka mingine zaidi na zaidi huku ukimpendeza Mungu na Watu, Maadam hii makitu imeangukia kwen white party, basi tunaendelezea humo humo leo, kuparty tu!
**********************************************************