Happy Birthday Elia....

Happy Birthday Elia....

asante sana mydear, nashukuru kunitakia B'day njema. Sijui hata nifanye nini au niandae nini leo!..... but thank you na karibu sana

Usijali My Dear Brother,

Tutaanda kama tulivyokubaliana..............Happy Birthday.............
 
Usijali My Dear Brother,

Tutaanda kama tulivyokubaliana..............Happy Birthday.............
Mbona huniambii venue jamani, tusijeandaa venue mbili kwa wakati mmoja mydear!
 
Happy Bday Elia mungu aendelee kukupa miaka mingi uwaone watoto wa wajukuu zako
Dear kuzeeka naogopa,
maana hao wajukuu hawatachelewa kunipeleka kwenye nyumba za kulelea wazee,
hiyo siitaki kabisa...
 
Mbona huniambii venue jamani, tusijeandaa venue mbili kwa wakati mmoja mydear!

Hujasoma PM wewe nimekwisha kuandikia venue ni wapi halafu tunakusubiri ujue
 
Elia... Happy Belated Birthday....

Hope you had fun.
:msela:
 
Heeeeeeeeeee, Bro,

Mzima wewe? Umerudi salama?
Baba na Mama yao akina Maria na Shasha hawajambo???

Happy birthday na uendelee kubarikiwa sana.......Upande mapipa na mitungi yenye usalama zaidi!!!

Babu & Bibi DC!!
 
happy birthday card.gif

happy birthdy mtumishi wa Bwana.
 
<br />
<br />
Elia na Desidii hawa mabaunsa vipi mbona wananizuia mlangoni banaa nitapiga mtu ngumi mimi banaa
Siku nyingine usiogope mkuu, mabaunsa wengine minyama tu.... wana wekwa kutishia nyau
 
Heeeeeeeeeee, Bro,

Mzima wewe? Umerudi salama?
Baba na Mama yao akina Maria na Shasha hawajambo???

Happy birthday na uendelee kubarikiwa sana.......Upande mapipa na mitungi yenye usalama zaidi!!!

Babu & Bibi DC!!
Unasalimiwa sana na dada Irene, Amekuwa mtata sana sikuhizi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom