Happy birthday Edward Lowassa

Happy Birth Day Mr President... I pay that God thru his Guardian Angels Thy Protect and Guide You Til the End of Time...

Malofa na Wapumbavu tuliodhulumiwa Madini yetu, Mabenki yetu, Viwanda Vyetu, Wanyama wetu... tunakutegemea utuondolee Zimu CCM ...
 

Happy birthday my next prd,hr edward lowasa.
 
Happy Birthday Celebrations to a Confident and Visionary Leader! Long life, good health and prosperity.
 
duh ni wa 1953 kumbe, ina maana hata jk ni mkubwa kwa lowassa, mbona kazeeka hivyo, whats wrong with him??? I can't imagine, let us be seriuos? Why yuko vile

We vipi? Watu hawafanani mbona! JK kakomaaaaa, EL yuko soft. Wewe binafsi uko tofauti na mates wako primary, sec na chuo kama ulisoma, na wala hamna cha ajabu hapo.

Lowasa nakutakia furaha ktk kumbukumbu ya leo. Don't let us down please, ongozwa na Zab 23
 
Happy birth day rais mwenye maamuzi magumu, wewe ni rais ajaye hata wapige goli la mkono. Wamekataa kona wakakubali penati. Long live
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…