Elections 2010 Happy Birthday Dr. W. P Slaa

Selous

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
1,325
144
Hi Dr. Slaa.

Wishing you all the great things in life, hope this day will bring you an extra share of all that makes you happiest.

Goodlucky on 31st Oct 2010, Goodlucky CHADEMA.

Alhaj Selous
 
Happy Birthday Rais wetu Mtarajiwa. Mungu akupe afya njema na maisha marefu ili uweze kuliongoza Taifa letu katika kupata maendeleo ya kweli.

Umeniwahi Mkuu :peace:
 
maji%20taka.jpg
 
Mheshimiwa Rais wetu mtarajiwa,
Mimi na familia yangu tunakutakia heri na nafaka katika kumbukumbu yako ya kuzaliwa. Mungu akupe maisha marefu sana yenye heri na baraka tele. Wewe ni jasiri na mwenye uchungu na nchi hii. Tuko pamoja na wewe. We love you Dr
 
happy birthday doctor,zawadi yangu kwako na watanzania pia nitaitoa jumapili this week
 
Dr Slaa amani kwako, Mungu akapate kukubariki , uwe na amani kwakua hatuta kuangusha kama zawadi yetu ya siku yako ya kuzaliwa na zawadi kwetu wapenda haki, maadili na umakini.
 
Its good that you were Born in the first place!
But i wish you an enjoyable great day!
Dr Slaa ulizaliwa kwa malengo, ndio maana B/Day yako inakuja maalum kipindi hiki NYETI!
Nami naungana na wengine kuhifadhi zawadi yako hadi 31/10/2010
 
Long life your excellency Dr. W.Slaa

Tunakutakia happy birthday njema si ajabu Mungu amechagua siku hii iliyotukuka kuwa ya ukombozi wa Watanzania. Kila heri 31.10.2010. All Tanzanians are behind you big man
 
Happy birthday, mr president dr w.slaa...mungu akuangazie akupe maisha marefu na yenye baraka tele...gifts zako ziko tatu, j3...kura yako, kura ya mbunge na kura ya diwani.
God bless you!!
 
Back
Top Bottom