Happy BIRTHDAY CUTE CUTE CUTE CUTE CUTE!!!!!!!!!!!!!!!!!

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386

@CUTE happy birthday najua birthday yako ni badae tar 21 ila nakuwish kabisa sasa hivi maana tunakwenda out so tukirudi naweza nikachelewa kukuwish hapa jamvini

To stay with you, to hear your voice,To see your charming smile,To walk with you, to talk to you, And laugh with you ,That's all I need to make my days, As happy as can be, Because I love you, girl, It’s true - you mean Entire world to me! Happy Birthday!

...............................................................................................................................................................

today we will be here ..i am sure you will like the place
dpov.jpg

................................................................................................................................................................
2185906.jpg

1266837213.jpg

42ea343c428a93e69874951782e8863d_full.jpg
rozy-45-sht-afacdb-1000.jpg

10622657-wine-and-cheese-romantic-dinner-outdoor-table-for-two-with-vineyard-view-fresh-grapes-and-wineglass-.jpg

happy-birthday-gift-basket.jpg

..................................................................................................................................................
best wishes !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
uzungu huu umetutenga na mila na desturi zetu. nosence.......

uzungu gani ndugu?...so u mean uzungu ama utajiri? manake nilivyokuelewa ni kuwa umaskini ni sawa sawa na uafrika. funguka nikuelewe vizuri ..ama u mean lugha niliyotumia? but mwenyewe ujumbe ameupata kaka so no worry
 
have you read/heard ALIENATION? kama umekipata kitu hicho, basi utanielewa lakini kama hujawahi kukisikia hutonielewa St. Ivuga.

Na wala sijazungumzia utajiri wala umasikin, nimezungumzia kutengwa na mila na desturi zetu kama waafrika. uzungu huo!!!!!
 
mila na desturi zetu ni zipi? komputa unayotumia hapo umritoa sumbawanga si ndio? dont be mjima bwana ..dunia inabadilika kaka.
 
mila na desturi zetu ni zipi? komputa unayotumia hapo umritoa sumbawanga si ndio? dont be mjima bwana ..dunia inabadilika kaka.

ndo yale yale mkuu bt not to that extent, si unacheck hata lugha zenyewe kaka!!!!! hivi hapy birth day to you kwa kikwenu ni aje.
 
Nahamu nipite kimya ila nimeshindwa!!! Ndo kusema M4C ya MMU haijakufikiaaaaa?! Au ndo mtu mzima hutishiki na nyau? Ngoja nitoke mkuku!

afadhali yako wewe unajaribu kukataa kutengwa na utu wako. St. ivuga ataelewa tu what we mean
 
ndo yale yale mkuu bt not to that extent, si unacheck hata lugha zenyewe kaka!!!!! hivi hapy birth day to you kwa kikwenu ni aje.

afadhali yako wewe unajaribu kukataa kutengwa na utu wako. St. ivuga ataelewa tu what we mean
sijakuelewa kabisa...sijui unataka ku-make point gani? kwamba tusieherehekee birthday ? ama hutaki tunywe waine ama ? niambie kwanza kwa upande wako manake kama kama unataka kuendekeza ujina basi hata mwaka wako wa kuzaliwa walikuwa hawaukumbuki
 
mpaka sasa hujajibu kama:-
1. umewahi kusikia/kusoma kitu kinaitwa ALIENATION/KUTENGWA.
2. Neno happy birthday kwa kikwenu/ nina maana lugha mama yako mnasemaje? Ilikuwepo? Iliwashughulisha kama ilivyokushughulisha kumtakia huyo aliyekufanya uache kila kitu pembeni uanze kumtaftia maua?

Enhee, ukisha mhappy birthday, nini kinafuata, nini kinabadilika katika maisha yako/yake,?

Ukiyajibu maswali haya naamini tutakuwa pamoja Saint Ivuga
 
ntamaholo mimi siogopi kutengwa ...na hayomaswali ningeyajibu kama ningekuwa nataka kuayajibu , sio kwamba nayadharau ama nakudharau .. la hasha ..il naona kuwa hakuna umuhimu wa mimi kuyajibu manake hao ambao unadai hawaendekezi uzungu wametupeleka wapi? i wish my girl CUTE coz i love her
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom