Happy birthday cocastic

Mweee nilipitwa jmn Jana
Kumbe tumepishana siku na coca

Happy birthday shost 🎉🎂🎂🎂
Mama mchungaji nakuombea Mungu akupe yaliyo mema,akujaze kwakweli
 
Mweee nilipitwa jmn Jana
Kumbe tumepishana siku na coca

Happy birthday shost 🎉🎂🎂🎂
Mama mchungaji nakuombea Mungu akupe yaliyo mema,akujaze kwakweli
Shouga ulikuwa na bday kumbe?! Jamani hata kutualika khaa!! 😂😂😂
Naomba irudiwe puliiizz
 
Shouga ulikuwa na bday kumbe?! Jamani hata kutualika khaa!! 😂😂😂
Naomba irudiwe puliiizz
Hapana shoooo
Nilimaanisha tumepishana km 8 days
Mi j3 ijayo ..25🤣🤣🤣
Naachaje ss watu wangu wa nguvu halafu Nile kimya kimya.....

Nawaza sijui hiyo j3 niende wapi🤣
 
Hapana shoooo
Nilimaanisha tumepishana km 8 days
Mi j3 ijayo ..25🤣🤣🤣
Naachaje ss watu wangu wa nguvu halafu Nile kimya kimya.....

Nawaza sijui hiyo j3 niende wapi🤣
Ningekukeketa bila ganzi 😂😂😂
Unashare birth date na Lion of Judah?!
Hongera Sana’a ❤️
Mimi miezi km hii ya xmass baba ndo alikuwa anamshawishi maza watoke sikukuu wakanitafute 🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…