Kwa kuwa umesema mapema kuhusu Ulanzi, ngoja nimwagize jirani Mama Matembo atuandalie hizo dumla 3.Ahsanteee sanaa Gran pah!!
Naomba niandalie na ulanzi dumla 3, nilewee had baas.
Udugu zawadi anatoa cantry ndio namsikilizia hapa tukujaze
Ila lazima nikate ya ganji
Enjoy to the fullest shossswewe treinaaahhhh! Hunaga baya na mtu best akee!
Ila coca bana, kwa hiyo ndio umekuja sasa hivi?
Btw happy bday
πππ naomba airudieKakimbiza wengi sana sikuhizi wanachungulia nakupita kimya kimya tu Rabbitus ni hatareeee...
πππHuyu huwa ni mjanja mjanja sana, unafikiri alikuwa hayupo?Yaniii sijui alikua anakazwa tangu asubuhi kweli mxxxieeeeeeeeww zake π! cocastic π€
Kwa kuwa umesema mapema kuhusu Ulanzi, ngoja nimwagize jirani Mama Matembo atuandalie hizo dumla 3.
Hilo limeisha Mjukuu, sema lingine
Seriously?hata maneno ya mwisho hujaona?kukuombea hapo mwisho upate matako makubwa hujaona?ahsanteee!! Ila lugha sasa daah.
Treeeenaa πNi yeye tu hakuna mwingineer... Hurrraaayyy kwa Mj akeee hurray!π