Shukrani Sana ndugu zangu, rafiki zangu mwenyezi Mungu atuhalie afya njema,amani na mafanikio katika mwaka huu 2014
shukrani sana kaka heri ya mwaka mpya, samahani kwa ukimya, sehemu niliyokuwepo net majangaHeri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Jiwe Linaloishi
shukrani mkuu , heri ya mwaka mpyaHeri ya kuzaliwa mkuu
shukrani sana kaka heri ya mwaka mpya, samahani kwa ukimya, sehemu niliyokuwepo net majanga
shukrani my dear siku za kuishi zinazidi kupungua, happy new year, nimekubakishia kekihappy birthday to you dia.
Kila mwana JF unajua bd yake Hongera muanzisha thread
Happy birthday Jiwe Linaloishi,, kila la heri katika maisha yako.
Happy birthday Jiwe Linaloishi,, kila la heri katika maisha yako.
Kwani umefufuka?ukiendeleza maneno yako utaongea na mizimu wewe
Kwani umefufuka?
me najua naongea na marehemu au sie?
shukrani tinna Mwenyezi Mungu akujalie mwaka mpya wenye amani na mafanikio