Happy birthday[emoji512]brother, Mungu akawe upande wako popote ulipo Kaka angu, hata kama tone moja la Damu yako imemwagika basi ikamwagilie ukombozi wa fikra katika taifa hili dhalimu. Nakuombea Malaika wa Mungu wawe walinzi wako. Happy birthday ones again Brother[emoji26]Tuendelee kuamini atarudi tu
Nimesikitika watu kutomkimbuka Leo inaamana ndio tumeanza msahauHappy birthday kaka popote ulipo
IndeedToo Sad!