Mentor ni wakati wako mwingine wa kumshukuru Mungu kukamilisha mwaka wako uliouanza 28 January 2016.Wana bodi,
Naomba tujumuike hapa River side ubungo, kumpongeza afande Mentor ze polisi katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Mentor a great man in JF, happy birthday brother.
Picha zitawajia hivi punde