Happy birth day mamaaaaaaa didy!!!!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Jamani wacheni nimwite mungu na abaki kuwa mungu ..tar 2 august ndio siku yangu ya kwanza kumuona kisura wangu aliekuja kuwa mtarajiwa wangu na sasa ni mamadidy aka mamafaith,,tar 3 mamaaa didy mungu ilimpendeza kuitwa duniani najua kuna wengi walitwaliwa siku hiyo wakiwa wanzaliwa lakini kwa heshima na upendo wa mung juu yangu akaona kimwali kale kaendelee
kuishi kuja mpikia kumpenda na kumjali pdidy

kwa niaba ya pdidy & companies kwa kuwa uko mbali mamanjombe kwanza nakutakia
-uaminifu wa ndoa yetu mungu aendelee uitunze uko uliko kama tunavyotunzanaa tukiwa jiji la ...lukuvi kaondoka sijui nani anywa way
-mungu akuongezee uhai na kukupa maisha mema na ya furaha tuje kutunza wajukuu kama mama mkwe na babamkwe wanavyokula mema ya nchi na sie tuitwe babu na bibi
-mungu akupe rehema ya kumpenda yeye zaidi na kumheshimu na kufwata yale anayosema najua ukifwata neno la mungu akuna matatizo yanayotokea kwa hili mungu asikuache kabisa ..
-marafiki wabaya wawe ni laana mbele ya maisha yakao na macho yako
naamini na mengine mengi
--kwaniaba ya didy na jf members mungu awabariki kwa wale walio njian kupata wenza usiache maombi ndio nguzo kamili akuna aliemkamilifu ila ni kwaneema ya mungu na maombi yako wito usikubali kuishi kwenye ndoa za mavumiliano yaani wewe uwee wa kuvumilia kila siku no never kataa kabisa sisemi muachane
ujumbe

better is not g0od enough
best is yet to come

be blessed all
wishi

happy birthday my baby

happy birthday.. Mungu ampe uzima afya njema na baraka

THANKS BR USIACHE KUMUOMBEA BANA SI UNAJUA BILA MAOMBI YALE MADUBWASHA YAKIKOSA NA NYUMBA NDOGO YANAJIITA SPIRITUAL HUSB WA USIKU ..TUSIACHE KUWAFYEKA USIKU HAO MPWA

THANKS BR USIACHE KUMUOMBEA BANA SI UNAJUA BILA MAOMBI YALE MADUBWASHA YAKIKOSA NA NYUMBA NDOGO YANAJIITA SPIRITUAL HUSB WA USIKU ..TUSIACHE KUWAFYEKA USIKU HAO MPWA
kwa jina la YESU nayakemea na hayatoweza kusogelea nyumba yako, kwa jina la Yesu naweka moto wenye damu ya Yesu kuzunguka nyumba yako na ya mwana JF anayesoma hapa sasa hivi.
Zaburi 145:18

happy birthday mama didy,mungu akujalie maisha marefu zaidi.....

Happy Birthday Mrs Piddy... May you forever prosper and forever

mchanganya Piddy maana haishi kukutaja kwa Mapenzi....

Happy birthday Shemeji yangu Mrs Pdidy!

Hope ya getting what you deserve from Mr/Dr./Prof/Mhe. Pdidy

Happy birthday to youuuu x 2........
Happy birthday dear mrs Pdidy............
Happy birthday to youuuu ..............
How old are you now x 2.............
How old are you now ..........
How old are you nowwwww...........

kwa jina la YESU nayakemea na hayatoweza kusogelea nyumba yako, kwa jina la Yesu naweka moto wenye damu ya Yesu kuzunguka nyumba yako na ya mwana JF anayesoma hapa sasa hivi.

Zaburi 145:18

Amina!!!..

kwa jina la YESU nayakemea na hayatoweza kusogelea nyumba yako, kwa jina la Yesu naweka moto wenye damu ya Yesu kuzunguka nyumba yako na ya mwana JF anayesoma hapa sasa hivi.

Zaburi 145:18

Ivuga???

Happy birthday mrs didy. furaha amani na upendo vitawale maisha yako kwa ktk jina la Yesu na wote tuseme amen.

Happy Birthday Mrs Piddy... May you forever prosper and forever

mchanganya Piddy maana haishi kukutaja kwa Mapenzi....

THANKS MUCH MA DEAR NATUMAINI NA MWENZANGU NITAONA BDAY YAKE KARIBUNI TUMPONGEZE KWAA KUKUTUNZA NA MMMM NISIFIKE MBALI

Happy birthday my dear daughter, may GOD bless u.

AIKA SAANA MAEKANYI RUWA NAWATARAME WOSE

Similar Discussions

Back
Top Bottom