Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Status
Not open for further replies.
Msamehe bure alikua anaendesha gari y taka huko usa sasa hpo utaona mukichwa hayuko sawa

hahahaaa,mtoto wa waziri mkuu anaendesha gari la taka,lazima mzee malecela alimpa laana,anakusanya viporo,pampas,na kupeleka jalalani
 
Wewe una utani na akili kubwa????

Haki y mamaaa chukua hiyo noah ntakuekua shockup mpya zote 4.....mana kwa uzito wke plus mabebezzz anaowapakiza lazma limeisha😁😁😁

(Ingawa in reality alipaswa kujiita mwili mkubwa na sio akili kubwa)
 
hahahaaa,mtoto wa waziri mkuu anaendesha gari la taka,lazima mzee malecela alimpa laana,anakusanya viporo,pampas,na kupeleka jalalani

Ndio mana unaona akili yke ilivyo umri wke angekua mbali sana kiuchumi .....ila yeye ni bilionea w maselfie
 
Wewe una utani na akiki kubwa????

(Ingawa in reality alipaswa kujiita mwili mkubwa na sio akili kubwa)

Hahaaa huyo ni babu yangu 58yrz umri sawa n mv liemba.....hivi m2 mzima unakuja hpa kuropoka kuhusu ex wko,hivi huyo ex wko akisema ulikua huna nguvu z kiume utalalamika,mimi naona li mbululazzz katimiza 38yrz si 58 ni typing error tu
 
Babu si ndio "mzaliwa wa kwanza???"

Sasa kama dada yake anagombea uraisi ni around 55 kama sikosei imagine umri wa babu...... sema tu mambo ya babu ni kama teenager!!!!

uwiiiiii le mutuz umri sawa na mv liemba
 
yaani haya mapicha mimi hoi kwa kicheko,hivi hiyo bezdei aliifanyia kwenye mashimo ya taka,manake nasikia alikuwa dereva wa gari la taka huko USA
 
Babu si ndio "mzaliwa wa kwanza???"

Sasa kama dada yake anagombea uraisi ni around 55 kama sikosei imagine umri wa babu...... sema tu mambo ya babu ni kama teenager!!!!

Hahaaa hivi kumbe dada 55yrz babu kweli umri sawa na mv liemba.....halafu huyo dada ananifaa kweli ngoja niongeze speed niwe first man mana wife akiwa rais mie mume ntakua hivyo
 
Babu si ndio "mzaliwa wa kwanza???"

Sasa kama dada yake anagombea uraisi ni around 55 kama sikosei imagine umri wa babu...... sema tu mambo ya babu ni kama teenager!!!!

Come again? Ina maana unataka kuniambia huyu Le mtumboz ndio first born wa Mzee Malecela? Basi hasara hii nilidhani Dr Mwele ni mkubwa au yule Marehemu Ipyana.
 
Huyu itakua familia imemchoka ndio mana anahangaika n kiblog chake...ipyana ndio alikua mdogo w mwisho kma sikosei
 
anaenda club at 58??? wazee wenzake wamekaa beach wanaangalia jazz ikipigwa yeye anakatika vigodoro na cheketua,tena aja miaka 58!!!! na jinsi alivyo ataweza kucheza cheketua
 
Dr Mwele ni akili kubwa wala hata siku moja hawezi kuhitaji support ya boguz old man mwenye degree tatu halafu anakuwa mkurugenzi wa blog, mtaji smartphone, laptop, modem na digital camera.

Ningekuwa na dada kama Dr Mwele kwakweli ningemtumia kwa njia halali na kamwe kitu kama blog kwangu isingekuwa ndio ajira.
 
kweli ni aibu kubwa,bora akalime zabibu kwenye mashamba ya baba yake aifungashe kitaalam,asambaze huko serena anakokaa kupiga picha
 
anaenda club at 58??? wazee wenzake wamekaa beach wanaangalia jazz ikipigwa yeye anakatika vigodoro na cheketua,tena aja miaka 58!!!! na jinsi alivyo ataweza kucheza cheketua

Mwenyewe atakwambia yeye si mzee, ni "baby boomer, yunowaaamseee?".
 
Le Mutuz nilishambana hapa akasema ananijua kakutana nami kwenye basement party DC.

I have never been to a DC basement party.

Hili ni baada ya kusema hivyo hivyo kwa Mzee Mbegu.

Old trick, ajaribu kubadili kidogo.

Nakumbuka vyema tena now days naona ni kama umempuuza tu maana miaka ile ilikuwa ukiamuwa kukomaa naye unambana angle zote mpaka anashindwa kupumuwa na kujifanya anakujuwa kumbe ni alinacha tu.
 
Nakumbuka vyema tena now days naona ni kama umempuuza tu maana miaka ile ilikuwa ukiamuwa kukomaa naye unambana angle zote mpaka anashindwa kupumuwa na kujifanya anakujuwa kumbe ni alinacha tu.

Siku hizi hata muda wa kuingia JF kwa manati. Kwa hiyo upuuzi upuuzi wake hata siuoni sana.
 
Ha haa cc Field Marshal
"Sauti ya umeme"
 
Last edited by a moderator:
Hili jamaa pimbi kweli aisee, yaani mtu mwenye akili kubwa angepata fursa kama alizonazo huyu kichwa maji basi angekuwa mbali sana

Miaka zaidi ya 55 kutwa kujisifia nimepewa zawadi smrtphone mara nimealikwa wapi mara nina hiki na kile

Wamarekani wana msemo wao unasema work hard in silence let the ferrari make a noise
 
Eeeeh don tell me Kim nana huyu huyo mchumba wa mwanangu
kweli damu nzito kuliko supu, ndo maana kumbe wanafanana fanana ha ha ha :A S wink:

Hahahaaaa ma mkwe umeuaaa, u know I like it....I miss my babuuu, legadem super mbululaz, Mzee wa bebez....
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…