Nilishaingia hapa. A cozy place. Jamaa anacheza na akili zenu tu kisha anapiga hela bia jasho. Shauri yenu
Unaona ni sifa huyo ni upunguani kuwakataza watoto kumsalimia babu au baba yao, ugomvi wa wazazi sio busara kuwaunganisha watoto. Hiyo itabaki kuwa damu yake. Unavyoongea utakuwa ni ex wake au mtu wa karibu sana na ex wake. Nakushauri ukiachana na mtu usimfatilie maana utazidi kuumia roho na hasa kama ulikuwa unampenda kwa dhati. Ukikaa kushindana na mwanaume utakufa kwa presha dada.Mr Gentleman huyu babu lemutuz watoto wake wanasomeshwa na mama yao pamoja na msaada kutoka serikali ya USA sababu wanaonekana ni watu masikini au wasio na uwezo ndio maana serikali inawasaidia na kuwasomesha, yeye huyu babu alikimbia majukumu yake na hapo amerika yeye ni wanted akiingia tu ndani ndio maana haendi tena sababu kisheria ukikimbia kulipa child support ni jela miaka mingi hadi utakapolipa na hapo bado ana deni wanasuniri kumkata kwenye pension port yake, mtoto wake wa kwanza Agapeo yuko college na yule mdogo Leona anaanza college next year, walikuja hapa bongo juzi juzi lakini hawakuwa hata na mpango na huyu babu hadi machozi yakamtoka aliishia kuwaona kwa nje tu, yule Leona aliishia kumwambia get off me ur not my dad haha watoto walikataa hata kumuona babu yao sea view.
Eh,eh,ehhh...Kumbe Mtuz anamajanga makubwa hivi kwenye familia yake.Mbona kila muda hujifanya anakula good time?
Aisee kumbe anajikazaga huyu ni tatizo kwa stail hii,Mtu yeyote asiyejali familia yake hata vitabu vitakatifu vimemkataa..Ni mtu ovyo kabisa,blaza Le mutuz badilika kwa speed unaelekea pabaya bro!
- Watoto wanasoma kwa pesa nilizokuwa ninakatwa kwenye mshahara wangu kwa miaka 25 niliyokuwa ninaifanyia kazi kampuni moja tu, Sheria ya US inasema hivyo. Makaratasi ya divorce uliyopeleka Ubalozi ya USA tulikubaliana malipo ya nkila mwezi nikayasaiini yakarudishwa Serikali ndio maana watoto wangu wanapewa hela zangu na Serikali ya USA au uantaka nielete copy hapa uaibike zaidi hahahahaha
- Wewe mwenyewe na mwanasheria wako mlikubaliana kwamba huku bongo hamna pesa so ninatakiwa kulipa hela ndogo kutokana na mazingira ya bongo bila hivyo Serikali isingetoa pesa zangu walizokuwa wanazikata kwenye mashara wangu, kuja USA nikitaka nakuja anytime sina sababu ya kuja huko nipo busy hapa bongo natengeneza pesa, pole sana ila unalo ndio mkome kuchezea wanaume sio kila mwanaume ni muoga hahahahahahahaha
Le Mutuz
- hahahahahahhahahahahaah halafu ukijua itakusaidia nini kwamba nitakufa au nitapungukiwa nini watoto wanasoma kwa hela nilikuwa ninakatwa kwenye mshahara wangu hiyo ni sheria ya kule, pole sana mmejaaa majungu na umbeya hahahahahaha
Le Mutuz
Mr Gentleman huyu babu lemutuz watoto wake wanasomeshwa na mama yao pamoja na msaada kutoka serikali ya USA sababu wanaonekana ni watu masikini au wasio na uwezo ndio maana serikali inawasaidia na kuwasomesha, yeye huyu babu alikimbia majukumu yake na hapo amerika yeye ni wanted akiingia tu ndani ndio maana haendi tena sababu kisheria ukikimbia kulipa child support ni jela miaka mingi hadi utakapolipa na hapo bado ana deni wanasuniri kumkata kwenye pension port yake, mtoto wake wa kwanza Agapeo yuko college na yule mdogo Leona anaanza college next year, walikuja hapa bongo juzi juzi lakini hawakuwa hata na mpango na huyu babu hadi machozi yakamtoka aliishia kuwaona kwa nje tu, yule Leona aliishia kumwambia get off me ur not my dad haha watoto walikataa hata kumuona babu yao sea view.
case mtanga
Duuu ni nini mbaya na wewe kumnanga hivyo kaka wa watu mwee mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni Happy birthday le mutuz Mungu akuongezee miaka mingine 50 uzidi kutupa burudaanii.
Ruttashobolwa uko wapi? ?
Njoo uone kisu kimegonga kwenye mfupa.....................
Babu leo hajasubiri uzi ufike page ya 10. .... kaja fasta kujibu tuhuma
Hahahah
Wewe utakuwa mgeni wa hili jukwaa Teh Teh
- Kijana mdogo haya mambo huyajui unajua mambo ya ali kiba na wema sepetu kaa pembeni ngoja nimpe darasa huyu kimama mzeee miaka 51 hahahahahaha anahangaika anadhani JF inaweza kumrudishia ndoa aliyoichezea mwenyewe hahahahahahaha
Le Mutuz