Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Jul 3, 2015 #181 BADILI TABIA said: Hahahah Kim nana aliamua kufuta ubabu ikabidi niokoe jahazi...... Halafu mabilionea mbona hawakuwepo kwenye pati??? Wamejaa wajukuu zake wa bongo movies tu au Babu siku hizi anaakti??? Click to expand... Babu nimemshindwaa, namgawa bureee mtu gani hataki kuzeekaa...Yani 58 yote hiyo halafu bado ana kadi ya UVCCM.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BADILI TABIA said: Hahahah Kim nana aliamua kufuta ubabu ikabidi niokoe jahazi...... Halafu mabilionea mbona hawakuwepo kwenye pati??? Wamejaa wajukuu zake wa bongo movies tu au Babu siku hizi anaakti??? Click to expand... Babu nimemshindwaa, namgawa bureee mtu gani hataki kuzeekaa...Yani 58 yote hiyo halafu bado ana kadi ya UVCCM....
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,738 Jul 4, 2015 #182 Kim nana said: Halafu ule mnazi alokojolea ulikauka ukafa etiii....babu ni shidaaaa Click to expand... Ha ha ha dah ila huyu baba jamani ni burudani
Kim nana said: Halafu ule mnazi alokojolea ulikauka ukafa etiii....babu ni shidaaaa Click to expand... Ha ha ha dah ila huyu baba jamani ni burudani
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 10,258 Reaction score 14,103 Jul 4, 2015 #183 W. J. Malecela said: - hahahahaha ok walikataa kumuona bongo halafu majuzi alipokuwa huko wakamfuata kulia shida na wewe una pesa sana vipi wewe mama unajiabisha hapa Le Mutuz Click to expand... Sasa mambo ya kutoana nishai kwenye media na mlishare kila kitu mpaka kupata watoto ndio nini? Kwa umri wenu hamtakiwi kufanya haya mambo!
W. J. Malecela said: - hahahahaha ok walikataa kumuona bongo halafu majuzi alipokuwa huko wakamfuata kulia shida na wewe una pesa sana vipi wewe mama unajiabisha hapa Le Mutuz Click to expand... Sasa mambo ya kutoana nishai kwenye media na mlishare kila kitu mpaka kupata watoto ndio nini? Kwa umri wenu hamtakiwi kufanya haya mambo!
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,236 Jul 14, 2015 #184 case mtanga said: Miaka 58 itakufanya uwe na akili na uvae vest na uepukane na kujiaibisha na mimajasho mbele za watu na kunuka nuka makwapa na mungu akujalie uwe na akili na miaka 58 ikufanye uache kuvaa maturubai ya kufunikia vitz. View attachment 263398View attachment 263399 Click to expand...
case mtanga said: Miaka 58 itakufanya uwe na akili na uvae vest na uepukane na kujiaibisha na mimajasho mbele za watu na kunuka nuka makwapa na mungu akujalie uwe na akili na miaka 58 ikufanye uache kuvaa maturubai ya kufunikia vitz. View attachment 263398View attachment 263399 Click to expand...
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,449 Reaction score 17,918 Jul 23, 2015 #185 Duh....