Ulitokelezea na kitenge chako, nilikuwa nakucheki tu.
Nna hasira, sijapata zawadi ya mfanyakazi bora.
Aisee, umeongelea JUWATA hadi nimeshtuka, zamani sana hii. Mwenyekiti aliluwa.Mzee nanisijui.
Kwani umeanza kazi wakati history.was happening?
Umenikumbusha enzi hizo walikuwa wanagawa mpk vitenge sina hata mtu wa kumpa nampelekea mamangu anacheka tu akiyaona mavitenge ya mei mosi, sijui bado wanaendelea kugawa maana nilishakimbia ofisi yenyewe!
Ninunulie kile chakula changu cha utotoni ndio sitasema ......!!!!!!!!!!!
Ulivyo wa ajabu utakuwa hujamfikishia adi leo.bai ze wei hao waz hepi besidei tu yu?Ulishindwa kunialika au ndo umeanza ubaguzi na unyanyapa?Mhurumie Lara, atakuwa anatumia tachi.skrin.
Asante, nitazifikisha salamu kwa mhusika.
Kwa hiyo nauli ya Moshi vijijini inaishia Tanga?
Haha ha, babu acha ukorofi.
Huku kwetu tunatumia kikombe cha kahawa kupimia vitunguu
Rock City, here I come.
Chapchap sana....
Kazi ni Kwako.
Nilimkimbia, alianza kuagiza mzigo kutoka Jamaica, nikasema ya nini niwe rastarare na huku napenda nyama
makande ya mchicha ama uji wa ulezi? umeanza lini blackmail?
Kuwa serious basi nihairishe safari ya kwenda kuvuna mpunga basi.............