Happpy Birthday...

Hivi Bongo na leo ni siku ya mapumziko?

Manake huku kwa washkaji zake na mungu boksi kama kawa!
 
huku ni bata kwa kwenda mbele na jk akukasilika na kesho anatangaza mapumziko..
 
Wafanyakazi ndo siku ya tuico kujishebedua
 
Hivi Bongo na leo ni siku ya mapumziko?

Manake huku kwa washkaji zake na mungu boksi kama kawa!

Kwa wafanyakazi wa serikali weekend ilianza jana. Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wake.
 
Unaenda kuandamana dada mdogo?
Hahaaaaaaa! Ilw ada wanayonikataga inaniuma balaaaaaaa! Adu kwenye hearing zanhu sioni wnachonitwtwa sazingine wanakuwa upande wa kampuni ! Siwezi kwwnda anadaman wakati wanaoki
A hela ya TUICO wamwjipumzisha! Nina hasira naoooooooo!
 
lara 1 nikutafute leo nikufundishe kiswahili fasaha ?
 
Last edited by a moderator:
Nawatakieni heri ya kuzaliwa enyi wana wa mei mosi, muishi maisha mareefu.

Leo birhday ya dogo kanatimiza six years.
Proudly dada ngoja niamke nikamkaangie kuku na mbuzi.
 
Siku ya watumwa mei mosi/ sikukuu ya mfanyakazi ni kuwa bosi/
 
Hahaaaaaaa! Ilw ada wanayonikataga inaniuma balaaaaaaa! Adu kwenye hearing zanhu sioni wnachonitwtwa sazingine wanakuwa upande wa kampuni ! Siwezi kwwnda anadaman wakati wanaoki
A hela ya TUICO wamwjipumzisha! Nina hasira naoooooooo!

Nenda ka sign jina chukua mwavuli na posho yako .timua...sio laZima uende maandamano
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…