Happiness? where are you?

Happiness? where are you?

We ought to learn to count our blessings...God we ask you to reveal yourself more to people who need you the most. Amen.
 
Imenitoa chozi mkuu,ee Mwenyezi Mungu wafanyie wepesi
 
We ought to learn to count our blessings...God we ask you to reveal yourself more to people who need you the most. Amen.

AMEN.
Ukisema kwangu kunaungua kwa mwenzio kunateketea
 
Wanasiasa ndio wanasababisha yote haya, wanachochea machafuko, tunaanza kupigana sisi kwa sisi, mwisho wa siku wao na familia zao wanakimbilia ughaibuni na kutuacha tukipambana na matatizo kama haya! Ukimuona mwanasiasa anayependa mchochezi kaa naye mbali sana!

unapokuwa na wansiasa jamii ya mwigulu nchemba ujue unakaribisha mapigano!!
 
ni wewe Mungu pekee wa stahili sifa hizo (abiud misholi)
 
My GOD tunashukuru kwa hali tuliyonayo na tunaomba uwafanyie wepesi wale wote wenye magumu ktk maisha yao.
 
My GOD tunashukuru kwa hali tuliyonayotna tunaomba uwafanyie wepesi wale wote wenye magumu ktk maisha yao.
 
Mungu wangu, jamani tumshukuru Mungu kwa uzima tulionao lakini pia tuwaombee na kuwasaidia wenye shida
 
Back
Top Bottom