Hapo Zamani Sikuwa Hivii....

Hapo Zamani Sikuwa Hivii....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230

Miria Makeba says it all......

Hapo zamanii wewee hukuwa hiiivyoo. .....
Ni sababu ya ......... (waijua mwenyewe it aje nafsi ni mwako)

Kwanini leo nimekukumbusha kuwa hapo zamani haukuwa hivyo.......

Leo nilikuwa mahali flani hivi nikakutana na mkaka mmoja hivi tulisoma nae shule ya msingi mtakuja huko huko kijiji cha mtakuja.

Sasa baada ya salamu, maana yeye alinikumbuka nami nilimkumbuka... tukajikuta tunaongea habari za miaka hiyo tunasoma shule ya msingi. Kama kawaida ya Kasie stori ziliponoga nilitoa miwani yangu na kuanza kucheka bin kutabasamu. Maana tuliongea na kukumbushana zaidi ya habari za alf-lela-ulela.

Basi tukaagana kila mtu aendelee na ustaarabu wake wa siku, akaniacha na kibwagizo. ...... Kasie. .... hapo zamani hukuwa hivyo...

Nikachekaaaa nikamjibu wewe hujioni?
Kweli Nyani Haoni Makaliole. (Kuunduuuleeeh)

Kwani wewe hapo hapo zamani ulikuwa hivyo ulivyo sasa?

2017-12-01 18.52.33.png

Kasie wa enzi hizoo. ....

2017-12-01 18.58.20.png

Kasie wa leo.... Kasie Mahabat Matata.
 
Daa maadam ulikua na kicheko kizur na meno masafiii mpk basi, sio mademu wa leo akicheka unageuzia pua kwenye chemba, meno yamejaa milango, lips ngumu kama gaga la kwenye kisigino akikupiga busu nzi week nzima wanakaa mbali na wewe, akisogea tu amepata kipindu pindu, kidevu kama kipande cha kashata shavu hiloo akicheka linakutana na sikio.
 
Aisee Kasie unanisema mimi au? Juzi juzi nime-renew passport unajua inakaa miaka kumi. Ile picha ya kwenye passport ya zamani na nilivyo sasa....kweli miaka kumi baada ya 25yrs ni mingii sana!
 
Aisee Kasie unanisema mimi au? Juzi juzi nime-renew passport unajua inakaa miaka kumi. Ile picha ya kwenye passport ya zamani na nilivyo sasa....kweli miaka kumi baada ya 25yrs ni mingii sana!

Mtani wala hata siku semi wewe..... huyu jamaa niliyekutana nae leo kanifikirisha mbali. Japo alinitania ila kuna ukweli ndani yake...... ndo hivyo mtani wakati ukuta. Kitu ambacho hakijabadilika kwa Kasie ni tabasamu...... mahaba zamani hayakuwepo heheheheee

Ila wewe si ni sinia bachela mwenzangu? Au wewe bado bado room ipo kama alivoulizwa mwana FA?
 
Daa maadam ulikua na kicheko kizur na meno masafiii mpk basi, sio mademu wa leo akicheka unageuzia pua kwenye chemba, meno yamejaa milango, lips ngumu kama gaga la kwenye kisigino akikupiga busu nzi week nzima wanakaa mbali na wewe, akisogea tu amepata kipindu pindu, kidevu kama kipande cha kashata shavu hiloo akicheka linakutana na sikio.

Dooh heheheeee. Asante.
 
Maisha tunayokutana nayo yanatupa shape na mtazamo tofauti juu ya mambo mengi. Huwa nacheka sana ninapokutana na watu wapya wakajaribu kupredict zamani yangu. Mwanadamu ana-evolve kila siku.

Hongera kwa kicheko
 
Ni kweli kabisa usemayo, maisha humfanya mtu kuwa vile alivyo leo kwa kifupi tuko hivi tulivyo leo kutokana na maisha tunayoishi. Ukiishi kitumwa leo muonekano wako ni wa kitumwa. Ukiishi kifalme leo muonekano wako ni wa kifalme n.k.

Asante kwa kweli namshukuru sana Mungu kwa kunipa cheko, hata nikiwa na huzuni nikipata mtu akanisababisha nicheke tuu huzuni hupotea.

Haya nikutakie weekend njema na uwapendao.
 
Kasie mi nmebaki tu nmenyamaza maana sijui hata niseme nini. Nabaki nashukuru tu sometime...

Hehehehehehehehee kwanini ubaki umenyamaza, sema bana.

Lipi lakufanya ushukuru? Bado uko kama ulivyo kuwa zamani?
 
Back
Top Bottom